Luke 22:28-30

28 aNinyi mmekuwa pamoja nami katika majaribu yangu. 29 bNami kama Baba yangu alivyonipa ufalme, kadhalika mimi nami ninawapa ninyi, 30ili mpate kula na kunywa mezani pangu katika karamu ya ufalme wangu, na kukaa katika viti vya enzi, mkihukumu makabila kumi na mawili ya Israeli.”

Isa Atabiri Kuwa Petro Atamkana

Copyright information for SwhKC